Elimu ndogo ya utambuzi wa mapema wa changamoto za ukuaji na ufahamu kwa watoto, imeelezwa kuwa chanzo cha wazazi wengi kuchelewa kubaini matatizo ya watoto wao.
Mtaalamu wa saikolojia, John Ambrose, amesema wazazi wengi hushindwa kutambua dalili za awali za changamoto za kiakili au ufahamu, na hivyo kudhani hali hizo ni za kawaida.
Amesema ukosefu wa uelewa katika jamii unachangia watoto wengi kuchelewa kupata msaada wa kitaalamu unaohitajika.
✍Ibrahimu Kilumbo
@elesia_haule
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)