Mshauri wa Maswala ya Familia, Salum Makuka amewashauri wazazi kutenga muda wa kukaa na watoto wa kiume ili kuwapatia mafunzo ya yale yanayohusiana na jinsia yao.
Makuka amesema kuwa kwa kiasi kikubwa wanawake wamekuwa wakitambua majukumu yao kutokana na mafunzo wanayopatiwa toka utotoni lakini kwa mtoto wa kiume inakuwa ngumu kwasbabu hapewi maelekezo yoyote kuhusu familia na miongozo ya uwanaume.
✍Halima Abdallah
Mhariri | @allymufti_tz
@balqis_njuki
@goodluckpaul_mc
#AzamTVupdates
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)