Shirika la umeme nchini Tanesco limesema kukamilika kwa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme kutamaliza tatizo la kukatika mara kwa mara kwa umeme mkoani humo.

Ujenzi huo unaofanywa na wakandarasi wa ndani umefikia asilimia 43.

Mhariri | @moseskwindi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *