BUNGENI : Katibu Mkuu Wizara ya Nishati (Mafuta na Gesi Asilia), Dkt. James Mataragio akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma kufuatilia uwasilishwaji wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 ambao utawasilishwa na Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius J. Ndejembi (Mb.), leo tarehe 22 Aprili 2026.

(Feed generated with FetchRSS)