Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Jabiri Bakari kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA).

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu kupitia taarifa yake amesema Dkt Bakari anachukua nafasi ya Salim Ramadhani Msangi ambaye atatapangiwa majukumu mengine.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *