Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Musoma mkoani Mara wametakiwa kupeleka huduma za msingi kwenye makazii ya wananchi ili kuwapunguzia mwendo katika kufuata huduma za serikali.

Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa wilaya ya Musoma, Juma Chikoka katika Kijiji cha Saragana kata ya Nyambono wakati akizindua zoezi la utoaji huduma kwa wananchi katika halmashaur hiyo.

Taarifa ya Augustine Mgendi.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *