Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 umeendelea kuonekana katika maisha ya Watanzania kwa njia mbalimbali.

Leo Tunakeletea simulizi ya mwanamke mwenye umri sawa na Muungano, ambaye anashuhudia matunda yake kupitia familia yake mwenyewe.

Faraja Samo anasimulia zaidi.

Mhariri | @rajjmsangi
#AzamTvUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *