Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi kesho, yanatarajiwa kuambatana na hisia mseto miongoni mwa wafanyakazi wakisubiri kusikia nini kitazungumzwa na Serikali kuhusu maslahi yao.
Kufuatia kupanda kwa nauli za mabasi ya mikoani na daladala, baadhi ya wafanyakazi wanatarajia kutega masikio kusikia iwapo kutatangazwa ongezeko la mishahara litakaloendana na hali halisi ya maisha, hasa katika kipindi hiki cha kupanda kwa bei za mafuta.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)