Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amewataka Waandishi wa Habari kuwa mstari wa mbele kurudisha maadili ya Taifa la Tanzania kwa kuhabarisha habari zinazolinda heshima ya Jamii na Taifa, akisisitiza kuwa wanahabari ni nguzo ya kuelemisha jamii.
Amesema hayo Aprili 29, 2026 Mtumba Jijini Dodoma, wakati akizindua Mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na Mmomonyoko wa Maadili kwa kipindi cha miaka kumi kuanzia mwaka huu 2026 hadi 2036.
#StarTvUpdate
(Feed generated with FetchRSS)