Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawawake na Makundi Maalum Mhe. Dorothy Gwajima amesema, yote yalioandikwa katika Mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na Mmomonyoko wa Maaadili yatatekelezwa kikamilifu.
Waziri Gwajima amesema hayo wakati wa uzinduzi wa mkakati huo, uliofanyika ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mtumba Jijini Dodoma Aprili 30, 2026.
#StarTvUpdate
(Feed generated with FetchRSS)