DAR ES SALAAM: Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kumfuta kazi kocha mkuu wa timu hiyo, Pedro Goncalves kuanzia leo Mei 5,2026.

Katika taarifa yao kwa umma iliyotolewa muda huu, Yanga wameeleza kuwa kocha Abdihamid Moalin na Patric Mabedi wataiongoza timu hiyo hadi mwisho wa msimu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *