Zaidi ya kaya maskini 172,000 zimesajiliwa kunufaika na Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza ya utekelezaji wa sheria ya bima ya afya kwa wote, iliyoanza rasmi Januari 26, 2026.

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amesema idadi hiyo ni sawa na asilimia 62 ya kaya zilizopo katika usajili wa awamu ya kwanza, na zaidi ya shilingi bilioni 48 zimetengwa kugharamia.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *