#HABARI: Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya iasa Nchini Tanzania imesema kuwa imekuwa ikifanya kazi kwa kufuata sheria na haitanii katika maamuzi yake na kwamba hakuna chama cha kisiasa ambacho ni cha kudumu.
Hayo yameelezwa na Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Bwana Sisty Nyahoza katika Mahojiano Maalum na Kituo cha ITV.
Kwa taarifa zaidi tembelea youtube chaneli yetu #itvtanzania.
(Feed generated with FetchRSS)
