Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imeanzisha huduma maalumu ya kuwahudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati na wenye uzi…Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imeanzisha huduma maalumu ya kuwahudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati na wenye uzi…

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imeanzisha huduma maalumu ya kuwahudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati na wenye uzito mdogo ijulikanayo kama mother knew born ICU, lengo likiwa ni kuwasaidia watoto hao kupata huduma stahiki za ukuaji sambamba na kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.

‎Akizungumza hospitalini hapo wakati wa maadhimisho ya uhamasishaji wa huduma jumuishi kwa watoto hao Naibu Mkurugenzi Mtendaji hospital ya taifa muhimbili mloganzila Dkt Julieth Magandi amesema huduma hiyo itawezesha watoto hao kupata lishe bora ya maziwa ya mama kwa ufanisi ambapo tangu kuanzishwa kwake jumla ya watoto 35 wamehudumiwa.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *