Mkenya aliyetoweka Washington DC miaka 7 iliyopita kupatikana hai, familia yalia kwa furaha
Baada ya ukimya wa karibu miaka saba, raia wa Kenya Anthony Ashiono Mabango amepatikana salama Marekani, na kuleta ahueni kwa familia yake ambayo imehangaika.