#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limeanza uchunguzi kuhusiana na vipeperushi ambavyo vinasambazwa barabarani vikiwa na ujumbe wenye madhui ya uchochezi wa vurugu na vitendo uvunjifu wa amani.

Uchunguzi huo unafanyika kutokana na vipeperushi hivyo kuanza kusambazwa kuanzia Juni 04, 2026 na Juni 06, 2026 katika maeneo ya mtaa wa Libert jijini Mwanza na eneo la Kanyama katika eneo la Kisesa Wilaya ya Magu na vinasambazwa na watu ambao hawajafahamika.

TUSIKILIZE RADIO ONE: ARUSHA MHz 95.3, MOROGORO MHz 103.2, BUKOBA MHz 92.1, MOSHI MHz 94.3, DODOMA MHz 100.8, MTWARA MHz 102.1, DAR ES SALAAM MHz 89.7, MUSOMA MHz 104.0, IRINGA MHz 97.4, MWANZA MHz 102.9, KIGOMA MHz 101.5, SHINYANGA MHz 101.3, MBEYA MHz 93.2, SINGIDA MHz 97.9, TABORA MHz 98.1, SONGEA MHz 95.4 na TANGA MHz 106.3

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *