“na maslahi hayo yanahusisha maslahi ya mwenza na watoto wale waliopo chini ya miaka kumi na nane na ambao hawajaoa au kuolewa, sheria pia inamkataza kiongozi wa Umma kujihusisha na biashara au shughuli binafsi ambazo zinamuingiza kwenye mgongano wa maslahi” Waziri Kipacha – Katibu wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Umma
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)