Malebo afichua kuwa ana watoto 10 na dadake Mchungaji Munishi: “Nina wajukuu 14”
Malebo anashiriki maelezo kuhusu maisha yake ya familia, akifunua ndoa yake na dada ya Mchungaji Munishi, watoto wao kumi, na tafakari kuhusu maamuzi ya maisha.
Malebo anashiriki maelezo kuhusu maisha yake ya familia, akifunua ndoa yake na dada ya Mchungaji Munishi, watoto wao kumi, na tafakari kuhusu maamuzi ya maisha.
Leo ni Alkhamisi tarehe 18 Dhulhija 1447 Hijria sawa na tarehe 04 Juni 2026.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu ametoa siku nne kwa wabunge waliokwenda Morocco bila...
ZANZIBAR: THE Zanzibar government has intensified public education on motor vehicle insurance and insurance rights as part of efforts to improve access to compensation and strengthen financial protection for citizens.…
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu ametoa siku nne kwa wabunge waliokwenda Morocco bila kibali cha Spika wajieleze huku akitoa onyo kwa wabunge watoro bungeni.
DODOMA: THE government has allocated 4.6bn/- through the Samia Innovation Fund to support the protection, registration and commercialisation of innovations developed by young people. Minister of State in the President’s…
DAR ES SALAAM; Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Moshi Kabengwe, amewataka viongozi wa taasisi hiyo kuzingatia afya ya akili kwa watumishi wanaowasimamia kwa…
Licha ya kukosa ubingwa wa Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17...
DAR ES SALAAM: TANZANIAN consumers have received relief this month following a drop in petrol prices, thanks to government measures aimed at cushioning the economy from the effects of escalating…
DAR ES SALAAM: One of the enduring aphorisms often invoked in diplomatic commentary is that “a friend in need is a friend indeed.” While in international discourse it is not…
Mbunge wa Makadara George Aladwa alifichua kwamba amelazwa hospitalini kwa siku kadhaa. Katibu mkuu wa ODM Catherine Omanyo alimtembelea na kumfariji.
Licha ya kuwa na kundi kubwa la nyota wenye majina makubwa, Morocco na Senegal zimezidiwa na...
Ajali iliyohusisha Nganya kwenye Barabara ya Enterprise jijini Nairobi inadaiwa kusababisha vifo. Mashahidi wamelaumu udereva ovyo kwa ajali hiyo.
Mapigano yameanza usiku wa Jumatano kuamkia Alhamisi mjini Mogadishu, ambapo moshi mwingi unaonekana katika mji mkuu wa nchi hiyo, kulingana na waandishi wa habari wa shirika la habri la AFP.…
Kiungo wa Scotland, Billy Gilmour, amesema kuwa atachukua muda kukubaliana na maumivu ya kukosa...
Jacky Vike, almaarufu Awinja, anasherehekea bathidei ya mwanawe Mosi kwa sifa za dhati. Ameonyesha mambo machache kumhusu na wasiwasi kuhusu faragha yake.
Katika kipindi hiki ambapo Tanzania inaendelea kushuhudia ongezeko kubwa la vijana wanaoingia...
Soma zaidi hapa...
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) leo, tarehe 3 Juni, 2026, zimesaini Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) yatakayowezesha maandalizi na utekelezaji wa Sensa…
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama…
Mahakama Kuu Masijala Ndogo wa Dar es Salaam, imeruhusu rufaa iliyokatwa na kampuni ya Bonite...
DAR ES SALAAM: WHEN President Samia Suluhu Hassan receives an Honorary Doctorate from the Peoples Friendship University of Russia (RUDN University), the occasion will represent far more than an academic…
Watu ishirini na mmoja waliangamia katika moto katika hoteli moja huko New Delhi. Kituo hiki kilikuwa kinawahudumia wagonjwa wa kigeni na familia zao. Miongoni mwao wagonjwa hao walikuwa Waafrika 18…
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
Ajali mbaya ya barabarani ilichukua maisha ya walimu wawili kutoka Shule ya Sekondari ya Kirindine Day, Lian Mugendi na Eric Muchangi, na kuacha jamii inayoomboleza.
Ajali mbaya ya barabarani ilichukua maisha ya walimu wawili kutoka Shule ya Sekondari ya Kirindine Day, Lian Mugendi na Eric Muchangi, na kuacha jamii inayoomboleza.
Mkutano huu unaweza kuzua hisia jijini Dakar. Siku ya Jumanne, Juni 2, Emmanuel Macron amempokea rais wa zamani wa Senegal Macky Sall katika Ikulu ya Élysée. Mkutano huo, uliorushwa na…
Wasiwasi kuhusu usalama katika shule Kenya unaongezeka, nao mvutano unaongezeka huku viongozi wa upinzani wakikinzana kuhusu uteuzi wa mgombea urais wa 2027.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumatano kwamba angependa kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, akisema katika mahojiano na Gazeti la New York Post kwamba Kiongozi…
Mwanawe Diana Marua, Morgan, amefunguka kuhusu ghasia zilizotokea Lenana School baada ya wanafunzi kugoma na kuharibu mali na kumshambulia mwalimu mkuu.
Hii inafuatia mashambulizi ya Israel kuua watu wasiopungua tisa kusini mwa Lebanon siku ya Jumatano na Hezbollah kufyatua makombora kaskazini mwa Israeli
Baraza la Wawakilishi la Marekani limepitisha azimio siku ya Jumatano linaloamuru kuondolewa kwa wanajeshi wa Marekani katika vita dhidi ya Iran, pigo kwa Donald Trump, ambaye aliingiza Marekani kwenye mzozo…
"CCTV ni shahidi wa kimya, haiwezi kuzuia tukio kutokea, lakini inaweza kusaidia kubaini ukweli baada ya tukio kutokea'', anasema mtaalamu wa faragha ya data Philip Kisaka.
Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa usiku wa Jumatano, Juni 3, kuamkia Alhamisi, Juni 4, Israel na Lebanon zimetangaza makubaliano yao ya kutekeleza makubaliano ya kusitisha mapigano na kuanzisha maeneo ya…
Waziri wa Afya Aden Duale amefichua Kaunti 12 Kenya zilizo katika hatari kubwa ya kuvamiwa na Ebola, akisisitiza hatua za maandalizi na vituo vya kujitenga.
Mvutano kati ya Rais Bassirou Diomaye Faye wa Senegal na mshauri wake wa zamani, Ousmane Sonko umezusha mzozo wa kisiasa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi inayosumbuliwa na deni kubwa.
Muungano wa Upinzani sasa umekubali kumtetea mgombea mmoja katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou utakaofanyika mnamo Julai 16. Kalonzo Musyoka alisema.
Iran imepinga vikali tuhuma za Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani kwamba Tehran inataka kuwaua maafisa wa Marekani, ikiikosoa Washington kwa kujaribu kujionyesha kama mwathirika huku ikificha rekodi yake…
Baraza la Wawakilishi la Marekani limeidhinisha azimio linalolenga kupunguza mamlaka ya vita ya Rais Donald Trump kuhusiana na Iran, ikiwa ni ishara ya changamoto kubwa kwa jinsi utawala wa Trump…
Uchunguzi uliofanywa na baadhi ya vyombo vya habari umebaini kuwa chuki na hujuma dhidi ya Wakristo vimeongezeka huko Israel.
Mshauri wa Masuala ya Kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kuwa Tehran haitairuhusu Marekani kuwasilisha matakwa ya kupita kiasi, iwe ni katika mazungumzo…
Wanajeshi wa Nigeria wanaoendesha oparesheni kwa jina "Hadin Kai" wamewaangamiza magaidi wasiopungua 50, akiwemo kamanda mkuu wa tawi la ISWAP lililoungana na kundi la Boko Haram.
Mashambulizi haya ya hivi karibuni yanatokea wakati mazungumzo ya kusitisha mapigano yamekwama, baada ya juhudi za kumaliza miezi kadhaa ya mapigano kushindwa kuleta maendeleo yoyote mwishoni mwa wiki.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
DODOMA: A shift in mindset is among the key changes needed for Tanzania to achieve its ambitious goal of becoming a US$1 trillion economy by 2050, which would subsequently raise…
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Russia have launched a decisive shift in their bilateral relations, elevating cooperation to a new strategic level after high level Kremlin talks that placed technology…
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP)…