Mashariki ya Kati: Marekani yashambulia maeneo ya Iran, Walinzi wa mapinduzi wajibu
Marekani imetangaza siku ya Jumapili, Mei 31, kwamba imefanya mashambulizi mwishoni mwa wiki kusini mwa Iran, ikilenga mifumo ya rada na udhibiti wa ndege zisizo na rubani, licha ya makubaliano…