Su-34M: Ndege hizi za kivita zinabadili mizani ya kijeshi Afrika
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Leo ni Jumatatu 15 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Juni 2026.
Mabadiliko yanahusiana na Mlango-Bahari wa Hormuz na kuondolewa kwa madini ya Urani iliyorutubishwa, kulingana na vyombo vya habari vya Marekani.
Mohammad Baqir Qalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa Iran, kupitia umoja wa kitaifa, inamrudisha nyuma adui katika vita vinavyoacha historia.
Mwanasiasa wa Ujerumani na mbunge wa zamani wa bunge la nchi hiyo amekosoa sera za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: "Walowezi wa Kizayuni wanafanya ugaidi wa kimfumo dhidi…
PSG imetwaa ubingwa wa Ulaya mara mbili mfululizo. Kwa Arsenal, licha ya kupoteza fainali kwa penati, safari yao ya kuvutia ilibeba maana kubwa zaidi ya kisoka na kifedha, kutokana na…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza takwimu za kutisha na za kusikitisha kuhusu hatari ya uvutaji sigara, kwa mnasaba wa madhimisho ya kila mwaka ya Siku ya Kupiga Vita Tumbaku…
Uchaguzi mkuu wa Ethiopia unatarajiwa kufanyika Jumatatu hii huku migogoro ikiendelea katika baadhi ya maeneo ya nchi, ikimaanisha kuwa watu wengi hawataweza kupiga kura.
Wizara ya Sheria ya Ufaransa imetangaza kwamba idadi ya wafungwa nchini humo imefikia zaidi ya watu 88,600, ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya nchi hiyo.