TAIFA CUP 2026 | Tanga wanasema ‘ngoma’ haijaisha hadi kieleweke.
Hii ilikuwa baada ya mchezo wao dhidi ya mabingwa watetezi Arusha, mchezo uliomalizika ushindi ukienda kwa Arusha.
Ni hapa Chinangali Park, Dodoma.
Tuko LIVE kupitia #AzamSports3HD
📸 Rajj Msangi
#TaifaCup2026 #TBF #Azamtvsports
(Feed generated with FetchRSS)