”Katika mambo ya elimu… nilikuwa napata taabu kutokana na maisha magumu nyumbani… nilifanya uamuzi mgumu wa kuacha shule nikaanza biashara” – Mwenyekiti wa Kampuni za Bakhresa, Mzee Said Salim Bakhresa akieleza usiyoyajua kuhusu siri ya mafanikio, changamoto alizopitia, na mafunzo ya maisha yanayoweza kubadilisha mtazamo wako.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi