“….zamani kulikuwa na vipaji vikubwa sana sema changamoto ni kwamba ile kuwatambua kwamba tunawafahamu sasa kipaji hiki kitaenda sehemu flani ikawa inafikia sehemu kwamba kuna ukomo, na ukomo unakuja pale mtu anacheza basketball lakini inafikia hatua hana sehemu ya kuendeleza…..lakini sasa hivi umekua….utandawazi umefanya gemu imepata chachu zaidi Wachezaji wameanza kuinuka zaidi….” Erick Kakete – Mkurugenzi wa Dear Basktball.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *