#HABARI: Muwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, na Rais Mstaafu wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera, amekutana na kufanya Mazungumzo na Tume ya uchunguzi wa Matukio ya vurugu za Uchaguzi na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025.

Ujumbe huo wa Jumuiya ya Madola umekutana na Tume hiyo katika ofisi zao zilizopo Jijini Dar es Salaam mapema hii leo Aprili 11, 2026.

Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Othuman Chande, amesema mazungumzo yao yalijikita zaidi kueleza shughuli za Tume hiyo na Hadidu za rejea za Tume .

Chakwera anaendelea na ziara yake ya kikazi ambayo anataraji kuhitimisha Aprili 16 mwezi huu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *