Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaweka utaratibu maalum wa kugharamia matibabu kwa majeruhi wa vurugu za Oktoba 29, sambamba na kuchukua hatua za kuwafariji na kuwasaidia wafanyabiashara waliopata hasara wakati wa matukio hayo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kurejesha hali ya kawaida ya maisha na uchumi.

#RipotiYaTume #AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *