Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei amesema kuwa nchi hiyo italinda uwezo wake wa nyuklia kama rasilimali ya taifa, licha ya juhudi za Rais wa Marekani, Donald Trump kutaka kufikiwa kwa makubaliano kuhusu suala hilo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)