Hoja ya uhalifu mitandaoni na kusambazwa kwa picha za udhalilishaji ni kati ya hoja zilizotikisa Bungeni mjini Dodoma, ambapo wabunge wameitaka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuanzisha idara maalum ya kipolisi chini ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kudhibiti vitendo hivyo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)