Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema Serikali imeendelea kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji yanayowezesha sekta binafsi kuchangia maendeleo ya uchumi na utoaji wa ajira nchini.

Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya wabunge katika kampuni ya Oryx Energies Tanzania Limited, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Subira Mgalu amesema uwekezaji uliofanywa na kampuni hiyo unaonesha dhamira ya Serikali ya kuvutia wawekezaji wenye tija kwa maendeleo ya taifa.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *