SERENGETI BOYS: ”ni mechi ngumu, lakini tumefuata maelekezo ya Kocha wetu”, Issa Chole akizungumzia mchezo ambao umemalizika ukiwapeleka hatua ya fainali kwenye michuano ya #AFCONU17 baada ya kuitoa Misri kwa mikwaju ya penalti 4-3.
Kwa upande wake Kocha wa timu ya Taifa ya wavulana U17 @serengetiboystz , Elieneza Nsanganzelu amesema wachezaji wake wameonesha uwezo mkubwa kwa kutoruhusu kufungwa hadi kwenye mikwaju ya penati.
Mhariri | @rajjmsangi
#Mshikemshike #Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)
