Dereva wa Tanzania ambaye aliwahi kukumbwa na kadhia ya kufungwa Sudani Kusini kutokana na ajali ya barabarani iliyosababisha kifo cha mwananchi wa Sudani Kusini, Juma Maganga amerejea tena kwenye kazi hiyo baada ya kupita miezi sita tangu kuachiwa huru.
George Mbara amekutana naye akiwa safarini kutoka Songea kuelekea Uganda.
��Mhariri @moseskwindi
##AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)