#CDFCUP2026 Katika kuhitimisha mashindano ya Mkuu wa Majeshi kwa mwaka huu… zimetolewa tuzo/makombe kwa waliofanya vizuri..
Mshindi wa jumla kwenye mamshindano yam waka huu, kombe limekwenda kwa Kamandi ya Jeshi la Kujenga Taifa (MMJKT), ambao pia ndiyo mabingwa upande wa soka.
#CDFCup2026 #CDFCup #MashindanoYaMkuuWaMajeshi #JeshiLaAkiba #CDFCupAwards
(Feed generated with FetchRSS)