#HABARI: Wagonjwa sita ambapo ni wanawake wawili na wanaume wanne waliokuwa mahututi wamefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) cha hospitali iliyoko katika mji wa Jaipur, magharibi mwa India.
Moto huo, unaoshukiwa kusababishwa na shoti ya umeme, ulianza Jumapili usiku katika eneo la wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa karibu ICU la Hospitali ya Sawai Man Singh.
Serikali ya jimbo la Rajasthan, ambalo mji mkuu wake ni Jaipur, imetangaza uchunguzi kuhusu tukio hilo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania