#HABARI: Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inayounguruma Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa mpaka kesho ambapo Lissu ataendelea kumuuliza maswali shahidi wa Jamhuri ACP George Wilbert ambaye ni Naibu Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam.
Lissu anakabiliwa na shtaka moja la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, shtaka linalotokana na maneno aliyodaiwa kuyatoa kuhusu kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.