#HABARI: Taasisi ya Utafiti wa Wanyapori Tanzania (TAWIRI), imeanza kutumia vifaa vipya vya kurushia mabomu baridi, ili kuwadhibiti Tembo, wanaovamia makazi ya watu na kusababisha uharibifu wa mazao pamoja na vifo katika vijiji vinavyopakana na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.