Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wajumbe kutoka upande wa Hamas na Israel Jumanne hii wanaanendelea na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yalioanza jana nchini Misri kuhusu kumaliza vita vilivyotimiza miaka miwili huko Gaza / Huko nchini Uganda, jamii zinazozunguka hifadhi ya gorilla wa milimani zinanufaika na ajira na miradi ya maendeleo