Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri Mkuu wa Qatar na wajumbe kutoka Uturuki wataungana na wajumbe wa Hamas na Israel nchini Misri (08.10.2025) katika siku ya tatu ya mazungumzo ya kutafuta kumaliza vita vya Gaza / Sanae Takaichi, mwanasiasa mwenye msimamo mkali wa Kihafidhina, anakaribia kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa Japan