Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen, ameituhumu Urusi kwa kutumia mbinu tofauti za vita vya kimkakati dhidi ya Umoja wa Ulaya / Chama kikuu cha upinzani, Visiwani Zanzibar cha ACT Wazalendo, kimezindua rasmi ilani yake Jumatano kuelezea ahadi zao kuu