Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Makini, Ameir Hassan Ameir ameahidi kusimamia vipaumbele nane endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari, Ameir alibainisha maeneo hayo ya kipaumbele kuwa ni pamoja na utalii, kilimo, uvuvi, uwekezaji, utawala bora na usimamizi mzuri wa mapato ya serikali.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *