Mgombea mwenza wa urais kupitia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shoka Khamis Juma amesema endapo Watanzania watakiamini na kukipa dhamana chama hicho kuingia madarakani, kitahakikisha rasilimali za taifa zinatumika kwa manufaa ya Watanzania wote.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi