Fuatilia simulizi ya Nyanso (si jina lake halisi), mama wa watoto watatu aliyeolewa akiwa na umri wa miaka 16 tu, akapitia ukatili wa ndoa ya utotoni na hatimaye kubeba jukumu la malezi peke yake baada ya ndoa kuvunjika.
Innocent Aloyce amemtembelea na kutuandalia simulizi hii yenye kugusa maisha halisi ya mwanamke jasiri.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi