Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi