#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro wakili Cornelia Bitegeko, amewataka makarakani waongoza wapiga kura kujiepusha kuwa vyanzo vya malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa pamoja na kuwasisitiza kushirikiana vyema na mawakala wa vyama hivyo, ili zoezi la upigaji kura uweze kukamilika kwa kuzingatia sheria na taratibu za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *