#KIPIMAJOTO: “Mheshimiwa Rais katika kipindi cha nyuma alikuja na 4Rs… moja wapo ipo ya maridhiano na maridhiano haya yana historia hayakuanzia tuu hata katika mgogoro wa CUF, maridhiano yalitoka enzi ya Baba wa Taifa……” Khamis Katuga – Katibu Mkuu Wazee Jasiri Organization.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania