Wakazi wa kijiji cha Njomlole kilichopo wilayani Njombe wameiomba serikali kumalizia ujenzi wa zahanati ya kijiji hicho ambayo ilianza kujengwa na wananchi hao miaka minane iliyopita kama anavyoeleza Emmanuel Kalemba.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *