Jeshi la Polisi nchini limepiga Marufuku Maandamano ya aina yeyote kuanzia Disemba 9 na Kuendelea kwa kuwa Maandamano hayo yanayohamasishwa kupitia Mitandao ya Kijamii hayana Kibali na yanaandaliwa kinyume cha Sheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *