Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kurekebisha mishipa ya inayopeleka damu kwenye figo kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na shinikizo la juu la damu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo, Dkt. Peter Kisenge amesema upasuaji huu umekufanyika kwa ushirikiano na madaktari bingwa kutoka Misri.

Upendo Michael ameandaa taarifa ifuatayo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *