Wafugaji wadogo wamehimizwa kuanza kutumia teknolojia za kidijitali katika shughuli za ufugaji ili kupunguza hasara na kuongeza tija, katika hali ambayo mabadiliko ya tabianchi na magonjwa ya mifugo yamekuwa yakiongeza gharama za uzalishaji.

Wito huo ulitolewa kwenye warsha iliyoandaliwa na Hand in Hand, iliyowakutanisha wadau wa maendeleo kutoka taasisi mbalimbali, kujadili njia za kutumia mifumo ya kidijitali kufikisha elimu ya ufugaji bora, masoko na taarifa za tahadhari za magonjwa kwa wafugaji.

Ramadhani Mvungi
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates #AdhuhuriLive #utv

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *