Wakazi wa manispaa ya Mtwara Mikindani wamesema ubovu wa miundombinu ya barabara unawaathiri katika shughuli zao za kila siku huku wakiziomba mamlaka ziwatatulie tatizo hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *