“Na baada ya masuala ya digital kushika kasi nikasema kizazi chetu. Ni kizazi ambacho kina namna yake ya kuambiwa na kufikishiwa elimu. Unapokuwa kijana kuna namna ya kuongea yaani mtu wa Buza, Kimara kuna lugha ukiongea hawatakusikiliza”- @mwl.magodajr, Mwalimu
#LiveonClouds360
#LainiYawana
#Clouds26Nyoosha