Wakati jina lake likisalia katika kumbukumbu ya raia wengi hata baada ya karibu nusu muongo kupita, mamlaka nchini Afrika Kusini, zimetangaza kuanzisha uchunguzi kuhusu mauaji ya mwanasiasa Steve Biko, miaka 48 tangu polisi imuue mwanaharakati hiyo wa kupoinga ubaguzi wa rangi.
Uchunguzi kuhusu mauaji ya Steve Biko waanzishwa tena Afrika Kusini